https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    WAZIRI SIMBA ASHIRIKI KONGAMANO LA KIBIASHARA LA WANAWAKE WA AFRIKA MASHARIKI


    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto , Sophia Simba katikatik) akichangia jambo wakati wa Kongamnao la Kongamano la pili la Wanawake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika biashara ya na Maedneleo ya Kiuchumi na kijamii. 
    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba katika picha ya pamoja na baadhi ya wanawake wajasiliamali wanaoshiriki Kongamano la pili la Wanawake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika biashara ya na Maedneleo ya Kiuchumi na kijamii.
    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba, akiangalia bidhaa za wanawake wajasiliamali katika maonesho yanayoendelea sambamba na Kongamano la pili la Wanawake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika biashara ya na Maedneleo ya Kiuchumi na kijamii.
    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba anashiriki katika Kongamano la pili la Wanawake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika biashara ya na Maendeleleo ya Kiuchumi na kijamii, nchini Kenya.
    Lengo la Kongamano hilo ni kuwaleta pamoja wanawake wafanyabiashara, wa Afrika Mashariki ili waweze kubadilishana uzoefu katika biashara pamoja na kuangalia namna ya kutumia fursa zinazopatikana katika umoja wa forodha.
    Kongamano hilo linatarajia kuwapatia wanawake nafasi ya kubadilishana mawazo ya kibiashara na kuweka mikakati ya kuzifikia taasisi za fedha ili kujijengea uwezo wa kiuchumi na kibiashara.Kongamano hilo linategemewa kuhudhuriwa na zaidi ya washiriki 300 kutoka wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: WAZIRI SIMBA ASHIRIKI KONGAMANO LA KIBIASHARA LA WANAWAKE WA AFRIKA MASHARIKI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top