https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Fashion Police wametaja mastaa wa soka wanaopendeza na wasiopendeza Messi, Ronaldo na Neymer wamo pia

    Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana nayo hii ya mastaa wa soka wanaovaa vizuri na wasio vaa vizuri, yaani kwa maana nyingine ni kuwa wanaopendeza na wasiopendeza, kwa mujibu wa mtandao wa michezo wa ESPNFC umetaja list ya mastaa ambao wanatupia ila wamo ambao wasiopendeza licha ya kuwa na uwezo mkubwa uwanjani sio kila kitu utakiweza.
    Uwezo wao haukuishia uwanjani pekee hadi katika masuala ya mavazi wameonekana kupendeza zaidi
    download
    Andrea Pirlo mchezaji wa New York City

    download (1)
    Xabi Alonso mchezaji wa FC Bayern Munchen
    download (2)
    Gerard Pique kutokea katika klabu ya FC Barcelona
    download (3)
    Cristiano Ronaldo wa Real Madrid

    Umahiri ni uwanjani ila katika masuala ya mavazi wapo nyuma na wanatajwa kutopendeza kwa mavazi hayo kwa mujibu wa fashion police wa ESPNFC
    download (1)
    Neymer da Silva kutokea FC Barcelona
    download (2)
    Dani Alves wa FC Barcelona
    download (3)
    Lionel Messi mchezaji wa klabu ya FC Barcelona
    download
    Alexandre Song mchezaji wa FC Barcelona

    Mwisho kabisa Fashion Police wameshindwa kuwatambua Karim Benzema na Mario Balotelli wawe kundi lipi la waliopendeza au wasiopendeza
    download
    Mario Balotelli kutoka Liverpool
    download (1)
    Karim Benzema mchezaji wa klabu ya Real Madrid
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Fashion Police wametaja mastaa wa soka wanaopendeza na wasiopendeza Messi, Ronaldo na Neymer wamo pia Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top