https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Furaha ya mjukuu ikakamilika baada ya kuona bibi nae kasimamia harusi yake …


    maids
    Tumezoea kuona harusi nyingi  wasichana ambao hufahamika zaidi kama wapambe au ‘Maids’  ndio hupewa jukumu la kusimama mbele na maharusi kwa lengo la kunogesha sherehe.
    maids3
    Christine na mume wake wakiwa na wapambe wao akiwemo bibi yake Nana Beth
    Lakini hii iko tofauti, imenivutia kumwona bibi nae yumo kwenye kwenye list ya wasimamizi !! bibi harusi Christine kamchagua bibi yake Nana Beth mwenye umri wa miaka 89 kumsimamia kwenye harusi yake pamoja na wasichana wengine.
    Si ndugu zake tu walioshangazwa na uamuzi huo, bibi mwenyewe alishangaa kuona mjukuu wake anampa jukumu hilo, unaambiwa alimuuliza mjukuu wake zaidi ya mara 10 kama ana uhakika na anachokisema, jibu lilikuwa lilelile la kwanza !!
    maids4
    Christine na bibi yake Nana Beth
    Wageni waalikwa walionesha kufurahia pia kumuona bibi nae yumo na hakuna kitu kilichomshinda wala kuonekana kigumu kwake mwanzo mpaka mwisho, hata kucheza pia.
    maids5
    PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, 
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Furaha ya mjukuu ikakamilika baada ya kuona bibi nae kasimamia harusi yake … Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top