https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    HAWA NDIO WANASOKA 3 WENYE FOLLOWERS WENGI KWENYE INSTAGRAM


    6_Easy_Ways_to_Get_More_Instagram_Followers_starting_Today-ls
    Mtandao wa instagram ni maarufu sana hivi sasa karibia kila mtu maarufu anatumia mtandao huu. Hivi karibuni mtandao wa cosmopolitan.com walitoa list ya watu maarufu wenye followers(wafuasi) wengi kwenye instagram.

    Kwenye hiyo list mwanamuziki Beyonce anaongoza kwa kuwa na wafuasi milioni 42.7. Lakini kwa upande wa soka namba moja ni Neymar ambae ana likes Milioni 29.4. Kwenye list ya dunia Neymar yupo namba 10.
    Namba mbili kwa upande wa wanasoka ni Cristiano Ronaldo ana wafuasi Milioni 26.1, kwa upande wa dunia yupo nafasi 13.
    Namba tatu kwa upande wa wanasoka ni Leo Messi ana wafuasi Millioni 22.3 na kwa dunia yupo namba 18.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HAWA NDIO WANASOKA 3 WENYE FOLLOWERS WENGI KWENYE INSTAGRAM Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top