https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    DE GEA HACHEZI TENA MECHI IJAYO DHIDI YA ASTON VILLA – VAN GAAL

    gaal
    Kipa ambae  anatakiwa kwa hamu kubwa na Real Madrid bado ataendelea kukaa benchi kwenye mechi dhibi ya Aston Villa kama ilivyokua kwenye mechi ya ufunguzi.
    Licha ya De Gea kusema kwamba yupo tayari kucheza kwa sasa lakini kocha Van Gaal amesema kwamba hapana De Gea hatacheza kwenye mechi ijayo dhidi ya Aston Villa. Akielezea kwanini De Gea ata miss hiyo safari ni kutokana na kwamba bado yupo kwenye hali ile ile iliyosababisha kukosa namba mechi ya kwanza.
    Sababu aliyoitoa kwa De Gea kukosa nafasi kwenye mechi ya ufunguzi ilikua ni kwasababu ya kua kwenye hali mbaya kisaikolojia kwasababu ya mambo ya uhamisho. De Gea anahusishwa sana na kuhama club ya Manchester, hili swala halimuweki vizuri kisaikoloji hivyo basi sio rahisi kucheza vizuri. Kwasababu kipindi cha usajili bado kipo, basi bado yupo kwenye hilo tatizo ndio maana hatacheza kwenye hii mechi pia.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: DE GEA HACHEZI TENA MECHI IJAYO DHIDI YA ASTON VILLA – VAN GAAL Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top