https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA LAANDAA SHEREHE ZA KUMUAGA AMIRI JESHI MKUU MHE. DKT KIKWETE


    JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
    KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO

    Simu ya Upepo   : “N G O M E”        Makao Makuu ya Jeshi,
    Simu ya Mdomo : DSM  22150463     Sanduku la Posta 9203,
    Telex                     : 41051                      DAR ES SALAAM,  31 Agosti, 2015,
    Tele Fax                : 2153426
    Barua pepe               : ulinzimagazine@yahoo.co.uk
    Tovuti                  : www.tpdf.mil.tz
                        
         Taarifa kwa Vyombo vya Habari
              Vyombo vya Ulinzi na Usalama vinaandaa sherehe ya kumuaga Amiri Jeshi Mkuu tarehe 01 Septemba 2015 kwa gwaride rasmi litakalofanyika katika viwanja vya Uhuru, kuanzia saa 2.00 Asubuhi hadi saa 6.30 mchana.
    Waandishi wa Habari mnakaribishwa katika uwanja wa Taifa kwa ajili ya Coverage ya tukio hilo la kihistoria.   

    Imetolewa  na  Kurugenzi  ya  Habari  na  Mahusiano
    Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
    S.L.P  9203,   Dar es Salaam,  Tanzania.
    Kwa Mawasiliano zaidi: 0756 - 342279
                                             0783- 309963.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA LAANDAA SHEREHE ZA KUMUAGA AMIRI JESHI MKUU MHE. DKT KIKWETE Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top