https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    JK AMUAPISHA LUTENI JENERALI CHARLES MAKAKALA KUWA BALOZI MPYA NCHINI ZIMBABWE, ATUA ZANZIBAR KUJITAMBULISHA KWA DKT. SHEIN

      
    1.   Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala na maafisa wengine wa JWTZ, mara baada ya kumuapisha kushika wadhifa huo Ikulu Jijini Dar es Salaam Ijumaa Agosti 21, 2015. Jenerali Makakala aliwahi kuwa Kamanda wa Chuo Cha Taifa cha Ulinzi, NDC-Kenduchi jijini Dar es Salaam 
     Rais akimuapisha Jdenerali Makakala
     Rais akimkabidhi "nyenzo" za kazi Balozi Makakala
     Rais katika picha na Balozi Makakala
     Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala (wa tatu kushoto) pamoja na familia yake mara baada ya baada ya kumuapisha Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
     Rais Jakaya Kikwete akibadilisha mawazo na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe, Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala mara baada ya baada ya kumuapisha leo Ijumaa Agosti 21, 2015 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Wengine pichani ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue.

     Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Zimbabwe Luteni Jenerali Charles Makakala alipofika Ikulu

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Balozi mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Zimbabwe Jenerali Makakala Ikulu mjini Zanzibar  
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: JK AMUAPISHA LUTENI JENERALI CHARLES MAKAKALA KUWA BALOZI MPYA NCHINI ZIMBABWE, ATUA ZANZIBAR KUJITAMBULISHA KWA DKT. SHEIN Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top