Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa India nchini Tanzania Mhe.Sandeep Aryai Ikulu jijini Dar es Salaam Ijumaa Agosti 21, 2015
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Denmark nchini Tanzania Mhe.Einar Hebogard Jensen
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano wa 16 wa mwaka wa Chama Cha Wanasheria wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika SADC uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam leo.(Picha na Freddy Maro wa Ikulu).





0 comments:
Post a Comment