https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    KARIM BENZEMA BADO ATAENDA ARSENAL?? WENGER ANASEMA ATASAINI MMOJA HIVI KARIBUNI


    wenger
    Arsenal imehusishwa sana kumsajili mchezaji Karim Benzema kutoka Real Madrid kwa muda mrefu. Kila baada ya muda zinatoka tetesi mpya kuhusu huyu jamaa kutoka Real Madrid na kujiunga na Arsenal.
    Hivi sasa kocha wa Arsenal amesema kwamba wana karibia kumsajili mchezaji mwingine kabla ya kipindi cha usajili kuisha, Arsene Wenger ameongeza kwamba kuhusu usajili huo bado hawapo karibu sana kukamilisha makubaliano hayo japokua mpango ni kukamilisha kabla ya kipindi hiki cha usajili kuisha.
    Manager huyu wa Arsenal kipindi hiki cha usajili amepata saini ya  kipa Petr Cech kwa kiasi cha £10million. Watu wengi wanajiuliza kwamba ni kweli atakaetua Arsenal ni Benzema au mchezaji mwingine?
    Jumatatu ijayo Arsenal wanatarajia kuwakaribisha Liverpool kwenye uwanja wao wa Emirates kwenye muendelezo wa mechi za EPL.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: KARIM BENZEMA BADO ATAENDA ARSENAL?? WENGER ANASEMA ATASAINI MMOJA HIVI KARIBUNI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top