https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Mourinho na Wenger hawapatani? angalia alivyoirusha medali yake baada ya kufungwa 1-0 (Video)

    MOURINHO
    Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amekubali kipigo cha goli 1-0 dhidi ya klabu yaArsenal mchezo uliopigwa katika Uwanja wa Wembley Uingereza, Mourinho aliingia uwanjani akiwa na rekodi nzuri dhidi ya kocha wa Arsenal Arsene Wenger kwani timu zao zimewahi kukutana mara 12 kabla ya mechi ya August 2 na rekodi inaoneshaWenger hajawahi kumfunga Mourinho hata mara moja.
    Jose-595416
    Mourinho kama kawaida yake kaingia kwenye headlines tena baada ya kuwapongeza wachezaji wa Arsenal wakati wanashuka kutoka kuchukua medali ila wakapishana naWenger kitu kinachofanya watu wajiulize maswali, kwani hawapatani? baada ya hapoMourinho wakati anatoka Uwanjani kuelekea katika vyumba vya kubadilishia nguo aliirusha medali yake kwa mashabiki sasa haijulikani ni hasira au kaamua tu !!
    mourinho
    Hii hapa karibu yako, cheki kila kitu kilivyotokea mtu wa nguvu !!
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Mourinho na Wenger hawapatani? angalia alivyoirusha medali yake baada ya kufungwa 1-0 (Video) Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top