Wakuu habari nilizo zipata muda huu nikwamba, mwenyekiti wa CCM mkoa wa singida amejiuzulu nafasi yake na kujiunga na chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.
Safari ya matumaini inazidi kuchukuwa kasi
Taarifa za hivi punde zinaeleza kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Mgana Msindai a.k.a CRDB ametambulishwa rasmi kwenye mkutano wa Baraza kuu la CHADEMA unaoendelea jijini Dar. Msindai ndiye mwenyekiti wa umoja wa wenyeviti wa CCM Tanzania Bara
VIA JF
0 comments:
Post a Comment