https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Nafasi za Pre-Form One kwa Wasichana Bweni



    Gili ni shule ya wasichana ya bweni tu, imesajiliwa na wizara ya elimu kwa namba S.4375 na baraza la mitihani la taifa kwa namba S.4565.  Shule ina nafasi za masomo kidato cha kwanza katika michepuo ya Sanaa, Sayansi na biashara. Tupo Kibaha Maili Moja B, kilometa mbili kutoka barabara ya Morogoro. Fika shuleni kuthibitisha ubora wetu.
    *Masomo ni ya miezi mitatu na yataanza tarehe 19 September mwaka huu.*
    MAFANIKIO YA SHULE
    - Kidato cha nne wote wamefaulu kujiunga na kidato cha tano "Advance".
       Shule imeshika nafasi ya 7 kati ya 84 kimkoa na ya 45 kati ya 2097 kitaifa
       - Kidato cha pili wote wapepata "DISTINCTION" katika matokeo ya mtihani
       wa taifa 2014
       - Shule ya 3 kati ya 44 kwa kibaha Pwani katika mitihani ya Mock ya
       TAHOSSA form II 2014
       - Shule ya 14 kati ya 323 kwa kanda ya mashariki katika mitihani ya MOCK
       FORM IV EZEB 2014
       - Shule ya 5 kati ya 38 kwa kibaha katika mitihani ya mock FII 2013
       - Shule ya 19 kati ya 367 kwa kanda ya mashariki katika mitihani ya
       Taifa FII 2013
       - Shule ya 36 kati ya 365 kwa kanda ya mashariki katika mitihani ya
       taifa form II 2012,
       - Shule ya 3 kati ya 48 kwa kibaha katika mtihani wa mock form II 2012
    Simu: +255 714 477 216, Website:  www.gilisecondary.ac.tz
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Nafasi za Pre-Form One kwa Wasichana Bweni Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top