https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    PICHA UZINDUZI WA KAMPENI ZA ACT WAZALENDO

    Bado harakati za uzinduzi wa kampeni za siasa zilikuwa zikiendelea katika maeneo tofautiDar Es Salaam, August 30 ilikuwa ni siku ya uzinduzi wa kampeni za chama cha ACT- Wazalendo katika viwanja vya Mbagala Zakheem, chama ambacho ni kipya katika medani za siasa ila August 30 kimemtambulisha rasmi mgombea Urais wake Anna Mghwira sambamba na mgombea mwenza wake Hamad Musa Yusuph. Kampeni hizo zilihudhuriwa na wagombea ubunge na udiwani, wasanii mbalimbali pamoja na viongozi wengine wa chama kama Zitto Kabwe, Prof Kitila Mkumbo.
    DSC_0051
    DSC_0053
    DSC_0081
    DSC_0082
    DSC_0086
    DSC_0156
    DSC_0160
    DSC_0179
    DSC_0186
    DSC_0195
    DSC_0196
    DSC_0237
    DSC_0243
    DSC_0285
    DSC_0287
    DSC_0357
    DSC_0361
    DSC_0364
    DSC_0406
    DSC_0416
    DSC_0427
    DSC_0438
    DSC_0445
    DSC_0447
    DSC_0456
    DSC_0491
    DSC_0492
    DSC_0526
    DSC_0596
    DSC_0607
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: PICHA UZINDUZI WA KAMPENI ZA ACT WAZALENDO Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top