Kelvin Ndayisenga (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia timu yake goli la kwanza
Kiosi cha ‘Wekundu wa Msimbazi’
Simba kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-1 mbele ya timu ya URA
FC ya Uganda kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliopigwa kwenye
uwanja wa Taifa jioni ya leo ikiwa ni mchezo wa kujipima nguvu na
kujiandaa kwa ajili ya michuano ya ligi kuu Tanzania bara inayotaraji
kuanza mapema mwezi ujao.


0 comments:
Post a Comment