Afisa
Mwandamizi Baraza la Habari Tanzania Ofisi ya Zanzibar Shifaa Said
Hassan (aliesimama) akifahamisha kitu katika mafunzo ya siku tano
yalimaliza jana Agosti 28 yaliyoandaliwa
na Shirika la Habari la Marekani Internews kwa waandishi wa Habari
wa Zanzibar katika Ukumbi wa Umoja wa watu wenye Ulemavu Kikwajuni Mjini
Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Mwandishi Mkongwe wa Tasnia ya Habari Tanzania ambae pia ni Mkurugenzi
wa Internews Tanzania Valerie N. Msoka akifafanua kitu kwa wandishi wa
Habari (hawapo pichani) wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo juu ya
kuripoti uchaguzi Mkuu.
Badhi ya waandishi wa habari walioshiriki mafunzo juu ya kuripoti Habari za Uchaguzi Mkuu wakisikiliza nasaha zilizotolewa na Mkurugenzi wa Internews Tanzania Valerie N. Msoka (hayupo pichani) katika mfunzo yaliofanyika Ukumbi wa Umoja wa watu wenye ulemavu Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Mkurugenzi
wa Shirika la Internews kanda ya Afrika Ian Noble akitoa ufafanuzi kwa
waandishi wa Habari juu ya kuripoti habari za Uchaguzi, alipotembelea
katika mafunzo hayo huko ukumbi wa watu wenye ulemavu Kikwajuni Weles
Mjini Zanzibar.
Mkurugenzi
wa Shirika la Internews kanda ya Afrika Ian Noble (wakatikati) katika
picha ya pamoja na washiriki na wasimamizi wa mafunzo hayo (kulia)
aliekaa ni Afisa Mwandamizi Baraza la Habari Tanzania Ofisi ya Zanzibar Shifaa Said Hassan na kushoto ni Mwandishi Mkongwe wa Tasnia ya Habari Zanzibar Salim Said Salim.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment