https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    AJALI YA ROLI SINZA MORI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

    Ajali ya roli imetokea Sinza Mori mida hii baada ya roli hilo kuchomoka tairi ya nyuma lakini hakuna mtu aliyepata madhara katika ajari hiyo pamoja na tairi kwenda mbali zaidi na eneo la tukio, hata hivyo dereva wa roli hilo amesema alikuwa anaenda kubadilisha ekseli iliyochomoka.CHANZO OTHMAN MICHUZI
    Roli lenye namba za usajili T 245 DEZ  limechomoka taili ya nyuma maeneo la Sinza Mori leo barabara ya Shekilango jijini Dar es Salaam.. 
     Roli likiwa barabarani ya Shekilango barabara ya Shekilango jijini Dar es Salaam.
     Hapo ndipo taili lilipochomoka wakati gari likiendelea kutembea.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: AJALI YA ROLI SINZA MORI LEO JIJINI DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top