https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    GAVANA WA CALIFORNIA AMETANGAZA HALI YA TAHADHARI BAADA YA MOTO MKUBWA KUUNGUZA NYUMBA

    Gavana wa California ametangaza hali ya tahadhari baada ya moto mkubwa kulazimisha maelfu ya watu kukimbia nyumba zao kaskazini mwa jimbo hilo.

    Gavana Jerry Brown amesema moto huo umeteketeza nyumba katika kaunti za Napa na Lake na kutishia mamia ya nyumba nyingine.

    Zaidi ya watu 1,300 wamekimbia makazi yao huko Middletown, kaskazini mwa San Francisco, wakati nyumba zao zikiteketea kwa moto. Askari wanne wa zimamoto waliougua moto mno wanapatiwa matibabu.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: GAVANA WA CALIFORNIA AMETANGAZA HALI YA TAHADHARI BAADA YA MOTO MKUBWA KUUNGUZA NYUMBA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top