Maelfu ya wahamiaji wameingia
Austria mwishoni mwa wiki wakati viongozi wa Jumuiya ya Ulaya
wakijiandaa kujua na uamuzi wa pamoja wa kukabiliana na mgogoro huo.
Hii leo mamlaka za nchini Austria
zinatarajia kupokea wahamiaji zaidi wakitokea nchi ya Hungari.
Mawaziri wa Mambo ya Nje kutoka
mataifa manne ya mashariki mwa Ulaya watafanya mazungumzo hayo
baadae, na mawaziri wa mambo ya ndani ya Umoja wa Ulaya nao
watakutana siku ya jumanne.
0 comments:
Post a Comment