MTOTO AFARIKI KWA AJALI ENEO LAO UYOLE YA KATI JIJINI MBEYA.
Mtoto
mwenye Umri usio zidi Miaka 16 hakuweza fahamika kwa Majina napoteza
Maisha mara baada ya kugongwa na Gari Eneo la Uyole ya Kati Jijini
Mbeya, wakati alipo kuwa akivuka Bara Bara kuelekea upande wa pili
Ghafra zikasikika Breki za Gari aina ya Prado yenye Nambari za Usajiri
{T807,DCA} na kupelekea Umauti kwa Kijana huyo hapo hapo.
Baadhi ya mashuhuda na Wakazi wa Uyole wakiwa katika tukio.
Gari lililo mgonga Mtoto huyo..
Eneo la Tukio likiwa limezungukwa na Wananchi wa UYole ya kati..
0 comments:
Post a Comment