Home > Untagged Nimekusogezea hii miji mikubwa na ya gharama zaidi kuishi duniani Nimekusogezea hii miji mikubwa na ya gharama zaidi kuishi duniani Ukuaji wa miji mingi duniani inatokana na ukuaji wa miundombinu pamoja na uchumi wake kukua. Kuna miji mingi duniani inakua kwa kasi sana kutokana na kasi ya miundombinu, leo nimekuletea hii miji ambayo ni ya gharama zaidi duniani. 1. Los Angeles, Marekani 2. Paris, Ufaransa 3. Shanghai, China 4. Sydney-Australia 5. Geneva-Uswiss 6. Singapore 7. New York-Marekani 8. London-Uingereza 9. Hong Kong-China 10.Monaco-France 14:58:00
0 comments:
Post a Comment