Kwenye tukio hilo Mourihno ni moja kati ya majina makubwa yaliyofika, wengine ni Lewis Hamilton, Stuart Broad na zaidi. Kwenye utoaji wa tuzo Jose alishinda kwenye kipengele cha Editor’s Choice Award na alivyoshinda alisema, “Siku zote huwa nashinda tuzo na hiyo ni kwasababu huwa anashinda mechi za football”.
Lewis Hamilton alishinda kwa mara ya pili mfulizo GQ Sports Man of The Year


0 comments:
Post a Comment