https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Nimekusogezea list ya nyumba 15 za mastaa zilizoongoza kwa ufahari hadi kufikia Nov.2013

    Mastaa wengi wamekuwa wakijituma katika kazi zao ili kuhakikisha wanaishi maisha ya kifahari kulingana na kazi wanazofanya., wengi huwekeza zaidi katika majumba ya kifahari, magari na hata wengine katika biashara.
    Leo nimekusogezea List ya nyumba 15 za mastaa zinazoongoza kwa ufahari zaidi hadi kufikia Novemba 2013..

    opra
    1. Hii ni nyumba ya Oprah Winfrey iliyopo California, ina vyumba vya kulala 8 na vyumba vya kuoga 14 pamoja na eneo kubwa la kuogelea

    rob
    2.Nyumba ya  Robbie Williams iliyopo Los Angeles

    travolta
    3. Hii ni nyumba ya John Travolta iliyopo Florida, ina eneokubwa linalomwezesha pia kupaki ndege yake aina ya Boeing 707

    home4
    4. Hii ni nyumba ya Rod Stewart, pia ina eneo kubwa la uwanja ambalo hutumia kwa ajili ya mazoezi na kukodisha

    hom5
    5.Hii ni nyumba ya kifahari ya mwigizaji Will Smith ipo California, ina eneo la uwanja wa Tennis pamoja na Kikapu, alitumia zaidi ya dola milioni 20 kuikamilisha

    home7
    6. Hii ni nyumba ya Gene Simmons iliyopo California, ina ukubwa wa mita za mraba 16,500

    home8
    7.  Hii ni nyumba ya Jerry Seinfeld

    home9
    8. Hii ni nyumba ya Brad Pitt na mke wake Angelina Jolie, ina ukubwa wa mita 22,000, ina vyumba vya kulala 18

    home10
    9. Hii ni nyumba ya Eddie Murphy, ina swimming pool ya maji ya moto na nyingine ya baridi, pia ina uwanja wa tennis pamoja na vyumba vya burudani


    hom12
    10. Nyumba ya Jennifer Lopez iliyopo Los Angeles

    hom13
    11. Ni nyumba ya Hugh Hefner yenye eneo la mita 20,000, pia ina jumla ya vyumba vya kulala 26

    hom14
    12. Ni nyumba ya Celine Dion iliyopo Florida

    cent
    13. Ni nyumba ya rapper 50 cent, ina vyumba vya kulala 19, vya kuoga 37 na vumba sita kwa ajili ya jiko

    bekam
    14. Hii ni nyumba ya mwanasoka David Beckham, ipo Beverly Hills na imewekwa uzio kabisa wa kuzuia waandishi wa habari kupiga picha

    tom
    15. Hii ni nyumba ya Tom Cruise iliyopo Beverly Hills, ina eneo la ukubwa wa eka 1.4 pia uwanja wa tennis
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Nimekusogezea list ya nyumba 15 za mastaa zilizoongoza kwa ufahari hadi kufikia Nov.2013 Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top