Thomas
Ulimwengu wakati alipokuwa akiichezea timu ya taifa ya vijana, ila kwa
sasa anacheza klabu ya TP Mazembe na timu ya taifa ya Tanzania
(Ulimwengu ni aliyeweka mikono kichwani).
Hizi
ni picha za Benzema wa Real Madrid wakati alipokuwa mdogo, anatajwa
kuwa na asili ya Algeria licha ya kuichezea timu ya taifa ya Ufaransa
James Rodriguez wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Colombia wakati alipokuwa mdogo alikuwa nahodha katika timu yake.
Gareth
Bale wa Real Madrid wakati alipokuwa mdogo katika harakati zake za
kucheza soka, lakini kwa sasa anashikilia rekodi ya kuwa mchezaji ghali
duniani.
0 comments:
Post a Comment