https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Time ya kucheki kipande cha Video, mashuti 20 toka katikati ya Uwanja yalivyoingia golini…

    Mchezo wa soka kuna time unaenjoy tu yani matukio ya Uwanjani sio lazima mpaka litokee goli la penalty au goli la kumchenga kipa na beki !!
    Uwanja
    Kipande cha Video kutoka Youtube, kilipandishwa mtandaoni May 2015, unapewa dakika 6 tu za kuenjoy jinsi ambavyo jamaa walijiachia mashuti ya nguvu toka katikati ya Uwanja alafu beki, kipa na wachezaji wote wa Timu wanapitwa na mpira mpaka kitu kinaingia golini !!
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Time ya kucheki kipande cha Video, mashuti 20 toka katikati ya Uwanja yalivyoingia golini… Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top