https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    UKAWA WAFANYA MIKUTANO YA KAMPENI KATAVI VIJIJINI Wednesday, September 16, 2015 Maoni: 0



     Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mkanyageni, Zanzibar (CUF), Habib Mnyaa akihutubia mkutano wa kampeni za urais, ubunge na madiwani katika kijiji cha Katumba Wilaya ya Nsimbo, Mpanda mkoani Katavi. (Picha na Francis Dande)
    Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Zanzibar, Said Issa Mahamed  akihutubia mkutano wa kampeni za urais, ubunge na madiwani katika kijiji cha Katumba Wilaya ya Nsimbo, Mpanda mkoani Katavi.
    Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Zanzibar, Said Issa Mohamed (kulia) akimtambulisha mgombea ubunge wa jimbo la Nsimbo, Gerald Kitabu ambaye ni mwandishi wa habari wa The Guardian Ltd wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mnyaki, Mpanda mkoani Katavi.
     Mgombea ubunge wa jimbo la Nsimbo, Gerald Kitabu ambaye ni mwandishi wa habari wa The Guardian Ltd akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Mnyaki, Mpanda mkoani Katavi.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: UKAWA WAFANYA MIKUTANO YA KAMPENI KATAVI VIJIJINI Wednesday, September 16, 2015 Maoni: 0 Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top