Wahamiaji wawili kutoka nchi za Afrika Magharibi, wameingia eneo la Hispania la Ceuta wakitokea Morocco wakiwa wamejichimbia kwenye eneo la injini ya gari na nyuma ya kiti cha nyuma cha gari aina ya Mercedes-300.
Polisi nchini Hispania iliwabaini watu hao siku ya jumapili wakati maafisa forodha wakifanya ukaguzi katika mpaka wa El Tarajal, karibu na mpaka wa Moroccan.
Wahamiaji hao wawili wote wanaume wanatokea Guinea walipatiwa huduma ya kwanza kutokana na kukosa hewa ya oxygen, maafisa polisi wa eneo la Guardia nchini Hispania wamesema.
Mhamiaji akiwa amejificha eneo la injini ya gari
Huyu mwingine alikutwa nyuma ya kiti cha gari





0 comments:
Post a Comment