Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Nchini, Peter Mziray
(katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es
Salaam leo asubuhi, kuhusu kuahirishwa kwa kikao cha baraza hilo
kilichokuwa kifanyike Oktoba 6 na r7, 2015 kutokana na kifo Mwenyekiti
wa Taifa wa Chama cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher
Mtikila. Kulia ni Msajili Msaidizi wa Vyama Vya Siasa, Sisty Nyahoza na
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge na Siasa na Rais wa ADA, John Chipaka.
Msajili Msaidizi wa Vyama Vya Siasa, Sisty Nyahoza (kulia),
akizungumza katika mkutano huo, kuhusu kuahirishwa kwa kikao cha Baraza
la Vyama vya Siasa kilichokuwa kifanyike Oktoba 6 na 7, 2015 kutokana na
kifo Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Democratic Party (DP), Mchungaji
Christopher Mtikila. Kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa
Nchini, Peter Mziray.
Ofisa Habari wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Monica Munanka (kulia), akizungumza katika mkutano huo.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Mkutano ukiendelea.
0 comments:
Post a Comment