https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Deo Filikunjombe, Capt. William Slaa wafariki dunia



    Aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Njombe, Deo Filikunjombe enzi za uhai wake.chopa 2 chopa 3 chopa

    Deo Filikunjombe (kulia) akiwa na wananchi wake.

    Alichokisema Jerry Slaa kupitia akaunti yake ya Instagram
    “Baba yangu Capt.William Silaa akiwa na Mhe.Deo Filikunjombe na abiria wengine walipata matatizo ya engine ya helicopter 5Y-DKK jana jioni wakitokea Dar kuelekea Ludewa. Taarifa za mwisho ilionekana imeanguka kwenye msitu wa Selous. Hakuna mawasiliano ya simu. Usiku kucha vyombo vyote vya serikali vimeendelea na jitihada za kufika eneo la tukio na jitihada kubwa zaidi zinaendelea asubuhi hii.
    Nawaomba wote kuwa watulivu kwani jambo hili linahitaji umakini wa hali ya juu na ushirikiano wa taasisi nyingi za wizara tofauti.
    Tuwaombee wote Mungu awanusuru.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Deo Filikunjombe, Capt. William Slaa wafariki dunia Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top