https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Hii mpya ya Chui kunasa kwenye chungu cha maji huko India isikupite…(Video)

    Hii imetokea jana huko katika vijiji vya Kaskazini mwa India baada ya chui kuvamia kijiji na kujikuta akiondoka baada ya kushindwa kujikwamua kwenye sufuria ailiyokua akitumia kunywa maji.
    Taarifa hiyo iliripotiwa na vyombo vya habari vya nchi hiyo na kusambaa kwenye mitandao mbalimbali ambapo katika video alionekana chuo huyo akijitahidi kujitoa lakini haikuwezekana hadi walipokuja maafisa wa wanyama pori.
    Iliwachukua zaidi ya masaa sita kwa maofisa hao kuweza kufanikisha zoezi hilo na kufanikisha kumwachia mnayama huyo kuwa huru.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Hii mpya ya Chui kunasa kwenye chungu cha maji huko India isikupite…(Video) Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top