Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli
wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwa ameambatana na Mgombea Ubunge wa
Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Mh. Godbress Lema,
wakiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD,
kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 8, 2015.
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa
UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubiwa wananchi, wakati wa Mkutano wa
Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD,
Jijini Arusha leo Oktoba 8, 2015.
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa
UKAWA, Mh. Edward Lowassa akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge wa Jimbo
la Arusha Mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Mh. Godbress Lema, wakati wa
Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni,
Unga LTD, Jijini Arusha leo Oktoba 8, 2015.
Waziri
Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye akiwahutubia wananchi wa Mji wa
Arusha wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA,
Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni,
Unga LTD, Jijini Arusha leo Oktoba 8, 2015.
Mwanasiasa
Mkongwe Nchini, Mzee Kingunge Ngomale Mwiru, akiwahutubia wananchi wa
Mji wa Arusha wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania
kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa
UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi
Sinoni, Unga LTD, Jijini Arusha leo Oktoba 8, 2015.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe, akiwahutubia
wananchi wa Mji wa Arusha wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais
wa Tanzania kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia
mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD, Jijini Arusha leo Oktoba 8, 2015.
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Mh. James Mbatia, akiwahutubia
wananchi wa Mji wa Arusha wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais
wa Tanzania kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia
mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD, Jijini Arusha leo Oktoba 8, 2015.
0 comments:
Post a Comment