Mkuu wa
kitengo cha biashara wa Tigo Bw, Shavkat Berdiev akimkabidhi zawadi
ya simu mteja mmoja aliyetembelea duka la Tigo Makumbusho katika
maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja
Mkuu wa
kitengo cha huduma cha wateja Zakheem khan akifurahi pamoja na mteja
aliyejipatia zawadi ya simu katika kusherekea wiki ya huduma kwa wateja
zilizofanyika katika duka la Tigo makumbusho
Meneja wa
ubora huduma kwa wateja wa Tigo Bi. MwangazaMatotola, akifurahi
jambo na wateja wa Tigo waliotembelea duka la tigo makumbusho
Mkuu wa
kitengo cha biashara wa Tigo Shavkat Berdiev na Mkurungezi wa mipango (
Mtandao ) wa Tigo Bi Halima Idd wakigawa zawadi kwa wateja wote
waliotembelea duka la Tigo Makumbusho ambapo wateja wawili walifanikiwa
kujinyakulia zawadi ya simu za kisasa
Meneja wa huduma kwa wateja wa Tigo Charles Gardner akimsikiliza mteja aliyetembelea duka la Tigo Makumbusho
Mtaalam
wa huduma kwa wateja wa Tigo Jackson Jerry akiongea na wafanyakazi na
wateja wa Tigo waliotmbelea duka la Tigo Makumbusho ikiwa sehemu ya
kuadhimisha wiki ya huduma kwa mteja.
Imeandaliwa na MWANAHAFAKATI MZALENDO BLOG
0 comments:
Post a Comment