Mratibu
wa huduma za Afya ya Mama na Watoto Wilaya ya Magharibi Unguja Bi.
Fatma Ussi Yahya (wa kwanza kulia) akitoa maelezo kwa wanajumuiya ya
Maafisa afya Zanzibar walipotembelea kambi ya kipindupindu Chumbuni na
kutoa msaada.
Katibu
wa Jumuiya ya Maafisa Afya Zanzibar Ahmed Suleiman akinawa mikono mara
tu alipotoka kwenye wodi za wagonjwa wa Kipindupindu.
Picha ya pamoja ya wanajumuiya ya Maafisa Afya Zanzibar na wauguzi wa kambi ya Kipindupindu Chumbuni.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maafisa Afya Zanzibar Salum Moh'd Abubakar akimkabidhi msaada wa maji Mratibu wa huduma za Afya ya Mama na Watoto Bi. Fatma Ussi Yahya kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa.
Hapa akikabidhi boksi la gloves. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment