Naibu
Katibu Katibu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof.
Elisante Ole Gabriel akibadilishana mawazo na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu
wa Wizara hiyo, Seth Kamuhanda aliyestaafu kwa mujibu wa sheria wakati
wa hafla ya kuwaaga Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali waliomaliza muda
wao wa Utumishi wa Umma. Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Hyatt
Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akimkabidhi Cheti cha Utumishi wa
Umma aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu, ambaye amestaafu
aliyestaafu kwa mujibu wa sheria , Bi. Rose Lugembe wakati wa kuwaaga
Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali waliomaliza muda wao wa Utumishi wa
Umma. Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro
jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akimkabidhi Cheti cha Utumishi wa
Umma aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na
Ushirika, ambaye amestaafu aliyestaafu kwa mujibu wa sheria , Bw.
Mohamed Muya wakati wa kuwaaga Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali
waliomaliza muda wao wa Utumishi wa Umma. Hafla hiyo ilifanyika katika
Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini
Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akimkabidhi Cheti cha Utumishi wa
Umma aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, ambaye amestaafu
aliyestaafu kwa mujibu wa sheria , Mhandisi Christopher Sayi wakati wa
kuwaaga Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali waliomaliza muda wao wa
Utumishi wa Umma. Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency
Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akimkabidhi Cheti cha Utumishi wa
Ummaaliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo, ambaye amestaafu aliyestaafu kwa mujibu wa sheria , Bw. Seth
Kamuhanda wakati wa kuwaaga Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali
waliomaliza muda wao wa Utumishi wa Umma. Hafla hiyo ilifanyika katika
Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini
Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akimkabidhi Cheti cha Utumishi wa
Umma aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia
na Watoto, ambaye amestaafu aliyestaafu kwa mujibu wa sheria , Bi. Anna
Maembe wakati wa kuwaaga Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali waliomaliza
muda wao wa Utumishi wa Umma. Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya
Hyatt Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es
Salaam.
Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akiwaongoza Makatibu Wakuu wastaafu
waliomaliza muda wao wa Utumishi wa Umma kwa mujibu wa sheria
kugonganisha glasi kama ishara ya kutakiana heri wa hafla ya kuwaaga
Viongozi hao waandamizi wa Serikali. Hafla hiyo iliyofanyika katika
Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini
Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akizungumza na waaandishi wa vyombo
vya habari wakati wa hafla ya kuwaaga Makatibu Wakuu wastaafu
waliomaliza muda wao wa Utumishi wa Umma kwa mujibu wa sheria. Hafla
hiyo ilifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa
Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (katikati waliokaa) akiwa katika
picha na Makatibu Wakuu wastaafu waliomaliza muda wao wa utumishi wa
umma kwa mujibu wa sheria wakati wa hafla iliyofanyika katika Hotel ya
Hyatt Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es
Salaam.
Makatibu
Wakuu wa Wizara mbalimbali wakifurahia jambo wakati wa hafla ya kuwaaga
Makatibu Wakuu wastaafu waliomaliza muda wao wa Utumishi wa Umma kwa
mujibu wa sheria wakati wa hafla iliyofanyika katika Hotel ya Hyatt
Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.
Aliyekuwa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Bi. Anna
Maembe akibadilishana mawazo na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Patrick Makungu wakati wa
hafla ya kuwaaga Makatibu Wakuu wastaafu waliomaliza muda wao wa
Utumishi wa Umma kwa mujibu wa sheria wakati wa hafla iliyofanyika
katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015)
Jijini Dar es Salaam.
Makatibu
Wakuu Wastaafu, Mhandisi Christopher Sayi (kushoto), na Prof. Patrick
Makungu (kulia) wakiaagana mara baada ya kumalizika kwa hafla ya kuwaaga
Makatibu Wakuu wastaafu waliomaliza muda wao wa Utumishi wa Umma kwa
mujibu wa sheria wakati wa hafla iliyofanyika katika Hotel ya Hyatt
Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.
Makatibu
Wakuu Wastaafu, Mhandisi Christopher Sayi (kushoto) na Ramadhani Kijjah
wakifurahia jambo mara baada ya kumalizika kwa hafla ya kuwaaga
Makatibu Wakuu wastaafu waliomaliza muda wao wa Utumishi wa Umma kwa
mujibu wa sheria wakati wa hafla iliyofanyika katika Hotel ya Hyatt
Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (katikati waliokaa) akiwa katika
picha ya pamoja na Makatibu Wakuu Wastaafu na waliopo madarakani mara
baada ya kumalizika kwa hafla ya kuwaaga Makatibu Wakuu wastaafu
waliomaliza muda wao wa Utumishi wa Umma kwa mujibu wa sheria wakati wa
hafla iliyofanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jana
(Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.
(PICHA NA ISMAIL NGAYONGA-MAELEZO)
0 comments:
Post a Comment