https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Picha za Mikutano yote ya Lowassa leo Oktoba 01 jijini Dar


    Mgombe Urais wa CHADEMA Mhe. Edward Lowassa akiwa na Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo Saed Kubenea. #JijiniDar









    Msafara wa Mgombea Urais wa CHADEMA akiwa maeneo wa Ubungo akiendelea na kampeni.. Jijini Dar es Salaam.





    Wakazi wa Mwembeyanga, Temeke waliojitokeza kumsikiliza Mgombea Urais wa CHADEMA Mhe. Edward Lowassa.






    Msafara wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Mhe. Edward Lowassa akiwa katika kampeni zake Mwembeyenga, Temeke





    Mgombe Urais wa UKAWA, Mhe. Edward Lowassa akiwasili katika viwanja vya Mwembeyanga Temeke.




    Makongoro Mahanga akimnadi Julius Mtatiro wa Jimbo la Segerea kupitia CUF na UKAWA.

    Wakazi na wafanya biashara wa eneo na Ubungo wamemsimamisha Mgombea Urais wa CHADEMA, Mhe Edward Lowassa kuongea nae







    Wakazi wa Jimbo la Segerea waliojitokeza kumsikiliza Mgombea Urais wa CHADEMA, Mhe. Edward Lowassa mapema leo mchana.




    Mh. Edward #Lowassa akiwasili viwanja vya TP Tandale #Mabadiliko2015

    John John Mnyika na Muslim Hassanali wakibadilishana mawazo ndani ya viwanja vya TP Tandale #Mabadiliko2015

    #KUTOKATANGANYIKAPACKERS: Wananchi wakimsubiri @Edwardlowassatz kwa ajili ya mkutano wa kampeni #Mabadiliko2015








    Mgombea Ubunge Jimbo la Bumbuli, Ndg. David Chanyeghea akiwa ktk mkutano wake Kata ya Mahezangulu #UKAWA2015

    #KUTOKAMWEMBEYANGA: Tambwe Hiza akiongea na wananchi wa Mwembeyanga Dar leo, wako tayari
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Picha za Mikutano yote ya Lowassa leo Oktoba 01 jijini Dar Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top