Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe uzinduzi wa jengo la nyumba za
makazi za NHC Mindu, Upanga Jijini Dar es Salaam Oktoba 7, 2015
zilizojengwa na NHC na kuuzwa kwa wamiliki . Wanaoshuhudia ni Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mama Zakhia
Meghji na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William
Vangimembe Lukuvi .
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la ufunguzi la jengo la nyumba za
makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam zilizojengwa na NHC na kuuzwa
kwa wamiliki. Wanaoshuhudia nia Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la
Taifa, Nehemia Kyando Mchechu, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi, William Vangimembe Lukuvi, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mama Zakhia Meghji
Jengo la nyumba za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam zilizojengwa na NHC na kuuzwa kwa wamiliki linavyoonekana.
Baadhi ya wafanyakazi wa NHC na wageni waalikwa waliokuwapo katika shughuli hiyo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi hati yake pacha ya umiliki wa sehemu
ya nyumba ya makazi, aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini, Nazir
Karamagi ambaye ni mmoja wa wamiliki wa nyumba katika jengo hilo la
ghorofa 16.
Mwanasheria
wa Yanga, Alex Mgongolwa akiwa ameshikilia hati yake pacha ya umiliki
wa sehemu ya nyumba ya makazi Mindu aliyokabidhiwa na Rais Jakaya Mrisho
Kikwete.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi mfano wa hundi iliyotolewa kama mkopo
kwa mke wa George Liwolweki ambaye ni mojawapo wa wamiliki wa sehemu ya
makazi katika jengo la Makazi kama mkopo wa ununuzi wa nyumba hiyo.
Hundi hiyo ilitolewa na Benki ya Azania.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba katika jengo hilo kabla ya kuzindua.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na watoto wa wamiliki wa nyumba hizo
za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam wakati akienda kufanya
ufunguzi wa jengo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi zawadi ya ua mmoja wa watoto wa wamiliki wa nyumba hizo za makazi za NHC Mindu, Upanga
Jiwe la ufunguzi lala jengo la nyumba za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam zilizojengwa na NHC na kuuzwa kwa wamiliki.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na watoto wa wamiliki wa
nyumba hizo za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam wakati
akiondoka katika eneo la tukio.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiondoka katika eneo la tukio.
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na baadhi ya Watendaji wakuu wa Menejimenti ya NHC.
Rais
Kikwete katika picha ya pamoja na baadhi ya Watendaji wakuu wa
Menejimenti ya NHC pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika
hilo.
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na baadhi ya wamiliki wa sehemu za makazi katika jengo hilo la Mindu.
Rais
Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi wa Serikali na baadhi ya
wamiliki wa sehemu za makazi katika jengo hilo la Mindu.
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo.
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na watoto wa wamiliki wa nyumba hizo za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam.
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na watoto wa wamiliki wa nyumba hizo za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam.
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na watoto wa wamiliki wa nyumba hizo za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam.
Kaimu
Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa, Tuntufye
Mwambusi akiwa na mwanaye wakati Rais Kikwete alipozindua nyumba hizo
za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam.
Jengo la nyumba za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam zilizojengwa na NHC na kuuzwa kwa wamiliki linavyoonekana.
(PICHA ZOTE ZA KITENGO CHA MAWASILIANO KWA UMMA NA HUDUMA KWA JAMII CHA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA)
0 comments:
Post a Comment