Jumapili iliyopita Bad girl Riri alionekana mitaa ya New York akiwa amevaa vazi refu lililoandikwa kwa maandishi makubwa kamwe huwezi kunimiliki “You Will Never Own Me” kwa mbele, na nyuma limeandikwa “I Will Never Fear You”.
Rihanna (27) ni star ambaye hata akikaa kimya kwa muda lakini ana njia zake za kuwafanya wahariri wasimpite bila kuandika chochote kuhusu yeye kupitia mavazi ambayo huchagua kuvaa.
0 comments:
Post a Comment