https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    SERGIO AGUERO NA DAVID SILVA KUIKOSA MECHI NA MANCHESTER UNITED

    Wachezaji tegemeo wa Manchester City, Sergio Aguero na David Silva wanahofiwa kukosa mchezo ligi dhidi ya mahasimu wao jadi Manchester United pamoja na mchezo wa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Sevilla.

    Aguero anahofiwa atakuwa nje ya dimba kwa karibu mwezi mmoja baada ya kupasuka msuli wa kwenye paja wakatia akiichezea timu ya taifa ya Argentina, huku Silva akiwa ameumia enka wakati akiichezea Hispania siku ya Ijumaa.

    Katika mchezo huo Aguero alimudu kucheza hadi dakika ya 22, kabla ya kutolewa kwa machela wakati Argentina ikikubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Ecuador.
                                       David Silva akichezewa rafu iliyomsababishia kuumia enka
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: SERGIO AGUERO NA DAVID SILVA KUIKOSA MECHI NA MANCHESTER UNITED Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top