https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    VIKUNDI VYA KINAMAMA VYAMPA ZAWADI DK. BALOZI KAMALA


    Balozi Dk. Diodorus Buberwa Kamala Mgombea Ubunge Jimbo la Nkenge akipokea zawadi kutoka kwa Wanachuo wa Chuo Cha Ufundi cha Partage cha Bweyunge. Balozi Kamala amepongeza Vijana hao kwa kazi nzuri wanayofanya. Dk. Kamala amehaidi kushirikiana nao kwa karibu akichaguliwa kurejea Bungeni.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: VIKUNDI VYA KINAMAMA VYAMPA ZAWADI DK. BALOZI KAMALA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top