Wachezaji
wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwasili kwenye Uwanja wa
Taifa Dar es Salaam leo wakitokea Malawi katika mchezo wa kufuzu fainali
za Kombe la Dunia 2018 zitakazofanyika Urusi. Katika mchezo huo Stars
ililala kwa bao 1 na kufanikiwa kusonga mbele kutokana na mchezo wa
awali Stars kushinda bao 2-0 na hivyo kusonga mbele kwa jumla ya mabao
2-1 ambapo itapambana na timu ya taifa ya Algeria. (Picha na Francis
Dande)
Wachezaji
wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwasili kwenye Uwanja wa
Taifa Dar es Salaam leo wakitokea Malawi katika mchezo wa kufuzu fainali
za Kombe la Dunia 2018 zitakazofanyika Urusi. Katika mchezo huo Stars
ililala kwa bao 1 nakufanikiwa kusonga mbele ambapo itapambana na timu
ya taifa ya Algeria.
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwasili kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo
Kocha wa
Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa akiwa na tabasamu baada ya kuwasili
leo akityokea Malawi ambapo Stars ilipambana na Malawi.
0 comments:
Post a Comment