Picha ya mtumishi wa kike wa ndege
aliyelala katika sehemu ya juu ya kuweke mizigo kwenye ndege ya
shirika moja la China imepata waangaliaji wengi kwenye mitandao ya
jamii.
Picha hiyo iliyoingizwa kwenye
WeChat imeelezwa kuwa watumishi hulazimishwa na maafisa usalama
kulala katika eno la mizigo baada ya ndege kufanya safari kwa saa 30
hadi 50, ikiwa ni tambiko.
Kitendo hicho kimeelezwa kuwa ni cha
unyanyasaji na shirika la ndege la Kunming limetoa taarifa yake na
kusema inalichunguza tukio hilo.
\
0 comments:
Post a Comment