https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    WALIMU LAKI MBILI WALIOGOMA KENYA KUKOSA MISHAHARA YA SEPTEMBA

    Zaidi ya walimu 245,00 waliogoma nchini Kenya watakosa mishahara yao ya mwezi Septemba baada ya muajiri wao kutoa orodha ya malipo ya walimu 42,973 ambao ndio watalipwa mishahara.

    Tume ya Huduma za Walimu Kenya (TSC) imechukua hatua hiyo wakati mahakama ya rufaa ya Kenya jana nayo ikiwaagiza walimu kurejea shuleni na kuanza kufanyakazi mara moja.

    Wengi wa walimu watakaolipwa mishahara yao kamili ni wakuu wa shule, wasaidizi wao pamoja na wakuu wa idara ambao walikuwepo shuleni wakati wote wa mgomo huo ulioanza mwezi ulioisha.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: WALIMU LAKI MBILI WALIOGOMA KENYA KUKOSA MISHAHARA YA SEPTEMBA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top