Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe
akiongea na Waheshimiwa Mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi
mbalimbali na Wakuu wa Idara/Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Nje. Wengine
katika picha hiyo ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo,
Balozi Liberata Mulamula. Waziri Membe aliwataka Mabalozi hao
kuhakikisha kuwa mafanikio ya kidiplomasia ambayo Serikali ya awamu ya
nne imeyapata yanadumishwa na kuendelezwa katika kiwango cha juu zaidi.
picha nyingine ni Waheshimiwa Mabalozi waliohudhuria kikao hicho. |
0 comments:
Post a Comment