Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu
Pinda kizungumza katika hafla fupi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu
kumuaga Waziri Mkuu, Mizengo Pinda iliyofanyika kwenye makazi ya Waziri
Mkuu jijjni Dar es salaam Oktoba 16, 2015
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na
mkewe Tunu wakigonganisha glass na Watendaji wakuu wa Ofisi ya Waziri
Mkuu katika Hafla fupi ya kumuaga aliyoandaliwana watumishi wa Ofisi
yake kwenye makazi yake jijini Dar es salaam Oktoba 16, 2015. Wapili
kushoto ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Florens Turuka, kulia
ni Naibu Katibu Mkuu, Regina Kikuli na wapili kulia ni Msajili wa
Vyama vya siasa, Jaji Francis Mutungi.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment