Kampuni ya BinSlum ndio mdhamini wa club ya Mbeya City kwa kutumia bidhaa yake ya RB Battery. Leo hii ikiwa kama mdhamini wa Mbeya City, Nassor BinSlum mkurugenzi wa kampuni ya BinSlum ameikabidhi Mbeya City Bus la club. Hizi ndio picha za tukio zima.
Shaffihdauda.co.tz inatoa pongezi kwa kampuni ya BinSlum kuendeleza udhamini wa club mbalimbali zinazoshiriki ligi kuu. Hii inasaidia club kuwa vizuri na kleta ushindani wa mkubwa.
0 comments:
Post a Comment