Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju akisaini hati ya kiapo mara baada ya kuapishwa kushika wadhifa huo |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akitia saini hati ya kiapo mara baada ya kumuapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi nyaraka Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju mara baada ya kumuapisha Leo Ikulu Jijini Dar es Salaam |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wanafamilia ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. |
0 comments:
Post a Comment