Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akiwa ameambata na wafanyakazo wa kampuni ya METL walipotembelea kituo cha mafunzo cha Furahini cha wilayani Mwanga. |
Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akitembelea majengo hayo yaliyojengwa kwa msaada wa Modewji Foundation. |
Majengo ya Madarasa katika kituo cha elimu cha Furahini cha wilayani Mwanga yaliyojengwa kwa msaada wa Kampuni ya Mohamed Enterprises . |
Afisa Udhibiti wa Ubora wa elimu ya msingi wilaya ya Mwanga ,Richard Joachim akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa kituo cha mafunzo cha vijana cha Furahini klichopo Kisangara wilayani Mwanga. |
Baadhi ya wanafunzi wanaosoma katika kituo hicho. |
Mwanafunzi Maureen Festo akisoma risala mbele ya mgeni rasmi ,Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi (hayupo pichani). |
Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akifuatilia risala iliyokuwa ikisomwa na wanafunzi wakati wa uzinduzi wa kituo hicho. |
Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akipena mikono na wanafunzi mara baada ya kumaliza kusoma risala. |
Mkurugenzi wa Kituo cha Mafunzo cha Furahini kilichopo Kisangara wilayani Mwanga,Isack Msuya akizungumza wakati wa usinduzi wa kituo hicho. |
Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi aliyekuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kituo cha Furahini Youth Learning Center akizungumza katika uzinduzi huo. |
Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akifungua mfano wa hundi kwa ajili ya kukabidhi kwa mkurugenzi wa kituo hicho. |
Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akizungumza jambo mara baada ya kukabidhi kibao kinachoonesha msaada uliotolewa kwa kituo hicho cha ujenzi wa madarasa ya kituo . |
Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akimkabidhi mkurugenzi wa kituo cha Mafunzo cha Furahini ,Isack Msuya mfano wa hundi ya kiasi cha sh Mil 7.7. |
Mchungaji Kajuna akitoa neno wakati wa uzinduzi wa kituo hicho. |
Wawakilishi wa METL wakiwa katika picha ya pamoja na walimu wa kito hicho pamoja na wanafunzi . |
Wakiwa katika picha ya pamoja. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
0 comments:
Post a Comment