Jamii katika eneo la
California nchini Marekani zinakabiliwa na wiki mbili za mvua kubwa
zinazotokana na El Nino.
California Kaskazini
itapata mvua ya sentimita 38.1 katika siku 16 zijazo na sehemu ya
milima ya Sierra Nevada ikipata mvua kubwa za theluji.
Hali ya El Nino imekuwa
ikiongeza joto katika bahari ya Pacific na inatarajiwa kusababisha
hali ya hewa isiyoyakawaida katika wiki zijazo nchini Marekani.
0 comments:
Post a Comment