Rais Barack Obama
aliyejawa na hisia amebainisha mikakati yake ya kudhibiti ununuzi wa
silaha katika hotuba yake Ikulu ya Marekani huku akisema sababu
zisizoisha za kutochukua hatua zinapaswa kusitishwa.
Ikulu ya Marekani
imebainisha mipango yake ya utekelezaji, ambayo imejikita katika
kuangalia historia ya mnunuzi wa silaha.
Nyingi za hatua hizo
zinaweza kuanza kutumiwa bila hata ya kuomba ridhaa ya baraza la
Congress.
0 comments:
Post a Comment