Pamoja na ushindani uliopo lakini wadau wengi wanampa nafasi Lionel Messi kushinda tuzo ya tano ya Ballon D’Or leo usiku mbele ya wenzake Ronaldo na Neymar.
Hata hivyo mchezaji ambaye ameshinda kila kikombe anachotakiwa kushinda katika level ya klabu lakini bado ana matamanio ya kufanikisha katika level ya kimataifa na timu yake ya Argentina.
Messi leo amekaririwa akisisitiza kwamba tuzo za timu kwa umoja ni muhimu kwake kuliko tuzo binafsi na ndio maana kama angepewa nafasi ya kushinda Tuzo 5 za Ballon D’Or au kombe la Dunia na Argentina basi angechagua kushinda kombe la dunia: ‘Ningechagua Kombe la dunia mbele ya Ballon D’Or, World Cup ni tuzo kubwa zaidi kwa mchezaji yoyote.
0 comments:
Post a Comment