Nimekusogezea picha za ubunifu
zilizochorwa na msanii mmoja toka Ghana ambazo wameonekana mastaa wa
wanawake wa Marekani… hapa ni zamu ya kuwaona akina Beyonce, Rihanna, Nick Minaj na mwigizaji Megan Good wakiwa kwenye mwonekano wa mavazi ya kiafrika zaidi.
Najua umezoea kuwaoana mastaa hawa
kwenye zile nguo zao za kimarekani zaidi na kitu kama high heels
miguuni… inakuwaje wakiwa kwenye mavazi ya Kiafrika? Cheki na huu
ubunifu mtu wangu !!
0 comments:
Post a Comment